Friday, 23 September 2016

UCHAMBUZI WA KITABU:LITTLE BLACK BOOK ON STUNNING SUCCESS BY ROBIN SHARMA'S


“People who have achieved great success are not necessary more skillful or intelligent than others. What separate them is their burning desire and thirst for knowledge. the more on knows, the more one archieves.
 Ni ukweli kabisa kinachotofautisha mtu mmoja na mwingine ni kiu na shauku ya mtu kupata maarifa, kadri mtu anavyopata maarifa mapya ndivyo anavyofanikiwa.
nichukue fursa hii kukukaribisha katika makala ndefu ya uchambuzi wa kitabu. Ni muhimu kuongeza maarifa kila siku.
Leo hii tutaanza kumzungumzia mwandishi nguli na mashuhuri kutoka canada, Robin Sharma's. Ni mwandishi aliyejizolea umaarufu sana katika tasnia ya uandishi wa vitabu. Tutaanza kwa kuzungumzia wasifu wake.
Robin sharma ni mwanasheria mwenye shahada mbili za sheria (moja wapo ikiwa shahada ya uzamili) kabla ya kuacha proffesional yake na kua mwandishi maarufu sana. Kila mtu ana upekee wake, na upekee huo unamfanya mtu awe tofauti kabisa na wenzake. Ni mwandishi nguli kabisa katika uandishi unaohusu masuala ya uongozi.
INGIA HAPA KUFAHAMU ZAIDI.
Alizaliwa mwaka 1965 na alilelewa katika familia ya yenye tamaduni za kihindi.Kitabu chake cha kwanza kilifanyiwa uhariri na mama yake mzazi kitabu kiliitwa THE MONK WHO SOLD HIS FERRARI., Kitabu hiki kinazungumzia namna ya kuwa na mazingira salama ya kazi lakini pia kufanya kazi kwa hari (high moral vaalues and excellence in work as well as in personal lives,) kabla ya kuja kuwa mwandishi maarufu na aliyeuza sana nakala mbalimbali za vitabu katika nchi zaidi ya 60 na kutafsiriwa katika lugha zaidi ya 70.
MAELEZO MENGINE
Robin Sharma is the founder, CEO and Chief Visionary Officer of Sharma Leadership International Inc. (SLI) which is a global consultancy that helps people in various organizations to realize their potential. His clients constitute most of the FORTUNE 500 companies such as Microsoft, GE, NIKE, FedEx and IBM. Organisations like NASA, Harvard Business School and Yale University are clients of SLI. 
  Hii ndo list ya baadhi ya vitabu vilivyoandikwa na sharma's




  • The Leader Who Had No Title’
  • 'The Greatness Guide’
  • 'The Greatness Guide Book 2: 101 Lessons For Success and Happiness’
  • 'The Monk Who Sold His Ferrari’
  • 'Leadership Wisdom From The Monk Who Sold His Ferrari’
  • 'Discover Your Destiny With The Monk Who Sold His Ferrari’
  • 'The Saint The Surfer And The CEO’
  • 'Daily Inspiration from The Monk Who Sold His Ferrari’
  • 'Who Will Cry When You Die?’
  • 'Family Wisdom From The Monk Who Sold His Ferrari’
  • 'The Lead Without A Title Manifesto’

  • .......Itaendeleaaaa..........usikose mwendelezo.....


  • No comments: